Maombi maalum yaandaliwa eneo la ajali Kisumu | Watu 27 walifariki wiki jana

  • | Citizen TV
    573 views

    HAYA YALIPOKUWA YAKIJIRI, MAOMBI MAALUM YAMEFANYIKA KATIKA MZUNGUKO WA BARABARA YA COPTIC KAUNTI YA KISUMU AMBAKO WATU 27 WALIFARIKI KWENYE AJALI YA BARABARANI WIKI ILIYOPITA.