Wanafunzi walalamika wanahangaika kulipia Masomo

  • | Citizen TV
    126 views

    Baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali nchini wameiomba serikali kuuangalia upya mfumo wa ufadhili wa wanafunzi wa vyuo vikuu, wakisema una changamoto nyingi na unawanyanyasa wanafunzi kutoka jamii maskini