Ndege yaanguka kwenye uwanja wa gofu

  • | BBC Swahili
    829 views
    Huu ndio wakati ndege ndogo ilipotua kwa dharura kwenye uwanja wa gofu wa Sydney Australia. - Ndege hiyo aina ya Piper Cherokee ilianguka ilikuwa na rubani na mwanafunzi. Kwa bahati nzuri hawakupata majeraha mabaya. - - - @goldenfruitsydney @manlyobserver #bbcswahili #ajali #ndege #australia #sydney #planecrash #pilottraining Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
    crash