Mkutano maalum ya jamii ya Gaaljecel

  • | Citizen TV
    97 views

    Jamii ya wachache ya Gaal jeel, ambayo ni sehemu ya jamii kubwa ya Kisomali katika Kaunti ya Wajir, imejitokeza kutoa wito wa kushirikishwa zaidi katika uongozi wa kitaifa na ule wa kaunti