11 Nov 2025 1:42 pm | Citizen TV 208 views Duration: 1:34 Viongozi kutoka kaunti ya Kakamega wanazidi kutoa hisia tofauti baada ya Rais William Ruto kuzindua mpango wa kuwapa vijana pesa za kujiendeleza kibiashara chini ya mradi wa Nyota.