Mwenyekiti wa EACC asema ufisadi umekita mizizi

  • | Citizen TV
    30 views

    Mwenyekiti wa tume ya maadili na kupambana na ufisadi nchini EACC David Oginde amewaonya wafanyakazi wa umma wanaojihusisha na ufisadi akisema ufisadi umekita mizizi nchini.