Maseneta wamejitetea kuhusu madai ya kuwa ni wafisadi

  • | Citizen TV
    252 views

    Maseneta sasa wanamtaka Rais William Ruto kutoa ushahidi alionao kuhusu kuwa baadhi yao wanahongwa wanaposhughulikia kesi za magavana wanaofikishwa mbele yao.