11 Nov 2025 1:50 pm | Citizen TV 99 views Duration: 57s Awamu ya tatu ya mchuano wa gavana Wavinya iliingia wiki yake ya nane huku timu kutoka Mumbuni Kaskazini, kaewa ya juu na ile ya chini zikipigania tiketi za kufuzu hatua ya gatuzi dogo.