Vyama vya wahudumu wa afya vyalalamikia huduma

  • | Citizen TV
    109 views

    Vyama vya wafanyakazi katika sekta ya afya vinalalamikia baadhi ya kampuni za bima kwa kudunisha utoaji wa huduma kwa wananchi. Wakiongozwa na katibu mkuu wa chama cha madaktari nchini KMPDU, DKT.