Mamlaka ya kudhibiti utalii imeanzisha msako wa magari

  • | Citizen TV
    391 views

    Mamlaka ya kudhibiti utalii nchini imeanzisha msako dhidi ya magari ya utalii ambayo hayajasajiliwa. Hii ni kufuatia wasiwasi wa wadau wa utalii kuhusu ukosefu wa nidhamu katika sekta hiyo.