Wauguzi wa migori wamegoma kwa siku ya 9 hii leo

  • | Citizen TV
    36 views

    Huduma za afya katika vituo mbalimbali vya afya kaunti ya Migori zimetatizika huku mgomo wa wauguzi ukiingia siku ya tisa hii leo