Skip to main content
Skip to main content

Zaidi ya watu elfu kumi waandamana Kilifi kupinga unyakuzi wa ardhi; waomba Rais Ruto kuingilia kati

  • | TV 47
    152 views
    Duration: 3:31
    Zaidi ya watu elfu kumi waandamana Kilifi kupinga unyakuzi wa ardhi. Mung’aro aonya maafisa wa usalama dhidi ya ukatili. Wakazi wadai kupata vitisho kutoka kwa machifu. Mwekezaji adaiwa kunyakua zaidi ya ekari elfu nane. Jamii ya Orma yalilia haki ya malisho. Wakazi waomba Rais Ruto aingilie kati na kutatua mgogoro. #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __