Kwanini wakristo wanauawa DRC?

  • | BBC Swahili
    3,533 views
    Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) hivi karibuni imekuwa uwanja wa mateso, hofu, na umwagaji damu unaoendelea bila kikomo. Katika mazingira ya mizozo ya muda mrefu, vikundi vya waasi wenye silaha kama ADF (Allied Democratic Forces) na M23, vinahusishwa moja kwa moja na mauaji ya halaiki, hasa dhidi ya Wakristo. Je ni kwanini wamekuwa wakiwalenga wakristo Makanisani DRC? David Nkya anaelezea. Kutazama video hii kwa urefu tafuta DRC hapa hapa Youtube Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw