Serikali kuhamisha shule ya msingi ya El Molo Bay

  • | Citizen TV
    52 views

    Serikali sasa itahamisha shule ya Msingi ya El Molo Bay iliyoko eneo la Loiyangalani, kaunti ya Marsabit kufuatia tishio la shule hiyo kuzama kutokana na kuongezeka kwa maji ya ziwa Turkana.