Shindano la kutembea mita 400 juu ya korongo nchini China.

  • | BBC Swahili
    951 views
    Washiriki walitembea kati ya vilele viwili vilivyotenganishwa kwa zaidi ya kilomita moja juu ya kamba yenye upana wa sentimita 2 pekee na mita 400 juu ya korongo. Je vipi unaweza kushiriki shindano kama hili? #bbcswahili #china #slackline Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw