- 476 viewsDuration: 2:38Mwili mmoja zaidi ulipatikana katika eneo la Chesongoch kaunti ya Elgeyo Marakwet, wiki moja baada ya mkasa uliosababisha vifo vya watu thelathini na nane. Licha ya serikali kuu kuahidi kuwashugulikia waathiriwa, juhudi za kuwatafuta watu kumi sasa inafanywa na wakaazi wenyewe