- 273 viewsDuration: 3:42Na huku mvua ikiendelea kunyesha sehemu nyingine na kusababisha mafuriko na maporomoko ya ardhi, hali ni tofauti katika maeneo ya kaskazini mwa Kenya ambako wakazi wanakodolea macho hatari ya ukame. Katika kaunti ya Marsabit, wakazi wa eneo la dukana wanaishi kwa hofu ya ukame huku wakilazimika kusafiri mbali kutafuta maji