- 132 viewsDuration: 2:01Kampuni ya Shabiki.com imefadhili makala ya sita ya mashindano ya kandanda ya Rashid Abdalla Super Cup, michuano inayoendelea katika kaunti za Mombasa na Kwale. Afisa wa oparesheni Shabiki.com, Abdi Waqo, amesema lengo kuu la shabiki.com ni kuinua na kukuza vipaji mashinani