Baadhi ya viongozi wa kaunti ya Kiambu watetea gavana Wamatangi kutokana na madai ya ufisadi

  • | NTV Video
    144 views

    Baadhi ya viongozi wa kaunti ya Kiambu wamejitokeza kumtetea gavana wa Kiambu Kimani Wamatangi kufuatia madai ya ufisadi ya hivi majuzi na tume ya maadili na kukabiliana na ufisadi (EACC).

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya