Mirengo ya ODM ya Barasa na Nabwera yazozana njia ya kupiga kura Kakamega

  • | TV 47
    258 views

    Mirengo ya Barasa na Nabwera yazozana njia ya kupiga kura.

    Barasa ajitangaza kuwa Mwenyekiti wa ODM Kakamega.

    Wafuasi wa Barasa watishia kuondoka ODM iwapo atanyimwa ushindi.

    Kambi ya Nabwera yasema kura za mlolongo zimeshapitwa na wakati.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __