Afisa Mkuu Mtendaji wa Tume ya Ardhi, Tache Arero, akanusha madai ana azma ya kisiasa

  • | KBC Video
    7 views

    Afisa Mkuu Mtendaji wa Tume ya Kitaifa ya Ardhi, Kabale Tache Arero, amepuuzilia mbali madai kwamba analenga kuwania kiti cha kisiasa katika Kaunti ya Marsabit. Akizungumza katika eneo bunge la Saku, Arero alisema kuwa ameridhika na nafasi yake katika Tume ya Kitaifa ya Ardhi, na shughuli yoyote anayofanya katika eneo hilo ni sehemu ya kushukuru jamii iliyomkuza

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive