Wanamazingira wasafisha maji ya Ziwa Victoria

  • | Citizen TV
    143 views

    Wanamazingira kutoka kaunti ya Homa Bay wameanza mchakato wa kusafisha maji ya ziwa victoria kupitia teknolojia inayotumia miale ya jua.