Familia ya Njoro yapoteza mwili wa mpendwa makafani; Molo wathibitisha kuzika mwili mwingine

  • | TV 47
    186 views

    Familia ya Njoro yakosa mwili wa mpendwa wao kwenye makafani.

    Inaarifiwa alizikwa na familia nyingine Molo baada ya miili kuchanganyika.

    Familia ya Molo imethibitisha kuzika mwili usio wao.

    Kisa hiki ni cha pili cha mkanganyiko wa miili kwenye makafani hayo.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __