Anthony Kyalo Kisoi apewa tiketi ya Wiper Patriotic Front

  • | Citizen TV
    163 views

    Chama cha Wiper Patriotic Front kimemtangaza Anthony Kyalo Kisoi kuwa mgombea wake katika uchaguzi mdogo wa Wadi ya Mumbuni Kaskazini utakaofanyika mwezi Novemba