Mhisani kutoka Korea achimba Kisima cha Maji Kijijini Korea, Narok

  • | Citizen TV
    179 views

    Changamoto ya kupata maji safi katika Kijiji cha ‘Korea ‘ viungani mwa mji wa Narok sasa imezikwa katika kaburi la sahau kufuatia uzinduzi wa mradi wa Kisima cha lita 30,000 kwa udhamini wa Wasamaria wema kutoka nchi ya Korea