Viongozi waahidi kuendeleza uhusiano kati ya ODM na UDA

  • | Citizen TV
    278 views

    Wanachama wa ODM tawi la kaunti ya Narok wamechagua viongozi wao kwa njia ya amani wito mkuu ukiwa kuapa kuendeleza kukosoa na kupiga msasa serikali ipaswavyo licha ya salamu za heri na kufanya kazi pamoja baina ya kinara wa chama raila odinda na rais william ruto.