Wanafunzi bado wamesalia nyumbani kanunti ya Homa Bay

  • | Citizen TV
    120 views

    Wanafunzi wengi bado wamesalia nyumbani muhula wa tatu unapoingia siku yake ya tatu hivi leo, viongozi na washika dau wa elimu sasa wanaonya kuwa hali hii italemaza pakubwa sekta ya elimu katika katika eneo hili.