Upuuzaji wa vipengee muhimu kwenye Katiba

  • | Citizen TV
    72 views

    Miaka 15 tangu kuanza kutumika kwa katiba ya sasa, utekelezaji wake umetajwa kuwa tamu chungu huku baadhi ya vipengee muhimu vya katiba vikikosa kuzingatiwa kikamilifu