Babu Owino: Sisi kama wanachama wa ODM hatupigi mtu yeyote vita

  • | Citizen TV
    2,522 views

    Babu Owino- Mbunge, Embakasi East: Sisi kama wanachama wa ODM, hatupigi mtu yeyote vita. Tunataka kuhakikisha kuwa kile ambacho serikali iliahidi wananchi wakati wa kampeni kinatimizwa.