Figo wasema wamepokea maombi kutoka kwa watu kadhaa haswa vijana wakitaka kuuza figo zao

  • | NTV Video
    64 views

    Baadhi ya madaktari wataalamu wa figo jijini eldoret, wamekiri kupokea maombi kutoka kwa watu kadhaa haswa vijana wakitaka kuuza figo zao, haya yalifichiliwa mbele ya kamati ya afya katika bunge la kitaifa, ambayo imezuru hospitali kadhaa katika kaunti ya uasin gishu, katika juhudi za kukusanya ushahidi kuhusiana na visa vya ulanguzi wa viungo vya mwili viliyohusishwa na hospital ya mediheal.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya