Wakaazi wa Rabai wafunga barabara ya Mazeras-Kaloleni kufuatia ongezeko la ajali

  • | NTV Video
    253 views

    Shughuli za usafiri zilitatizika kwa zaidi ya saa tatu katika eneo la BamBam kwenye Barabara ya Mazeras-Kaloleni, eneo bunge la Rabai, Kaunti ya Kilifi, baada ya wakazi kufunga barabara hiyo kufuatia ongezeko la ajali katika eneo hilo.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya