Fainali za CHAN: Wasanii gani watatumbuiza?

  • | BBC Swahili
    627 views
    Wanamuziki Zuchu, Eddy Kenzo na Savara wanatarajiwa kuandaa tamasha la kukata na shoka kufunga mashindano ya CHAN ambayo yamefanyika Kenya, Uganda na Tanzania. Tamasha hilo litaandaliwa katika uwanja wa michezo wa kimataifa wa Moi Kasarani dakika chache tu kabla ya Morrocco kushuka ugani dhidi ya Madagascar. Kati ya mafahali hawa wawili nani atatoboa? @RoncliffeOdit anaangazia hili kwa kina leo saa 3 usiku katika Dira ya Dunia TV kwenye ukurasa wa YouTube wa BBC Swahili. #bbcswahili #chan #kandanda Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw