Mamia ya wasafiri walikesha barabarani Gilgil

  • | Citizen TV
    843 views

    Mamia ya wasafiri wanaotumia barabara kuu ya Nakuru kuelekea Nairobi walitatizika kwa zaidi ya saa kumi na mbili kufuatia msongamano wa magari ulioanza alhamisi. Kulingana na mamlaka ya barabara kuu -KeNHA, msongamano huo ulisababishwa na ongezeko la magari kwenye barabara hiyo pamoja na madereva waliokosa nidhamu