Maseneta kwa sasa wanajadili hoja ya kumtimua Dkt. Eric Mutai

  • | Citizen TV
    1,495 views

    Maseneta kwa sasa wanaendelea kujadili hoja ya kumtimua gavana wa Kericho Dkt. Eric Mutai, baada ya pande zote mbili za gavana wa kericho na waakilishi wadi kukamilisha ushahidi wao.hapo awali, mamlaka ya mawasiliano nchini ilitoa ripoti kuhusu mfumo wa kidijitali wa kupiga kura, uliotumika katika kaunti ya kericho wakati ya kura ya kumbadua gavana huyo