Duale asema hatajiuzulu kwasababu ya SHA

  • | Citizen TV
    819 views

    Waziri wa Afya Aden Duale amesema hatajiuzulu licha ya shinikizo la baadhi ya wabunge wamtaka ang'atuke kutokana na sakata ya ulaghaii wa malipo ya sha. Duale amesema baadhi ya wanaomtaka aondoke wanamiliki baadhi ya hospitali husika na wanafanya hivyo ili asitishe vita dhidi ya uporaji wa SHA