Waathiriwa wawili walifika mbele ya kamati ya Bunhe kuhusu afya na kuelezea masaibu waliyopitia

  • | Citizen TV
    431 views

    Siku ya pili ya vikao vya kamati ya afya bunge la kitaifa jijini eldoret kuhusiana na sakata ya biashara haramu ya figo na waathiriwa wawili walifika kuelezea masaibu yao. Emmanuel Kipkosgei na Amon Kipruto wameelezea namna walivyoahidiwa malipo ya shilingi milioni moja na laki mbili kutoa figo zao na hata kupewa usajili mpya kuficha yaliyokuwa yakijiri