Skip to main content
Skip to main content

Mwili mmoja zaidi ulipatikana eneo la Chesongoch kaunti ya Elgeyo Marakwet

  • | Citizen TV
    188 views
    Duration: 2:41
    Mwili mmoja zaidi ulipatikana katika eneo la Chesongoch kaunti ya Elgeyo Marakwet, wiki moja baada ya mkasa uliosababisha vifo vya watu thelathini na nane. Licha ya serikali kuu kuahidi kuwashugulikia waathiriwa, juhudi za kuwatafuta watu kumi sasa inafanywa na wakaazi wenyewe. Na kama anavyoarifu Laura Otieno, waathiriwa sasa wanatafuta makao mbadala baada ya mashamba yao kuharibiwa kabisa.