Skip to main content
Skip to main content

Ukame washuhudiwa katika kaunti ya Marsabit

  • | Citizen TV
    238 views
    Duration: 3:41
    Na huku mvua ikiendelea kunyesha sehemu nyingine na kusababisha mafuriko na maporomoko ya ardhi, hali ni tofauti katika maeneo ya kaskazini mwa kenya ambako wakazi wanakodolea macho hatari ya ukame. Katika kaunti ya Marsabit, wakazi wa eneo la Dukana wanaishi kwa hofu ya ukame huku wakilazimika kusafiri mbali kutafuta maji. Emily chebet anasimulia taswira ya taifa linalokubana na majanga mawili tofauti kwa wakati mmoja