- 371 viewsDuration: 3:01Wakazi wa maeneo ya nyamira na bungoma walipeleka malalamishi yao barabarani kutokana na hali mbovu ya barabara. Barabara hizo zimesalia katika hali mbaya kwa miaka, licha ya rais William Ruto kutoa ahadi tangu alipokuwa naibu rais ya kutengenezwa kwa barabara hizo ziwe lami.