Skip to main content
Skip to main content

Shabiki.com yafadhili Rashid Abdalla Super Cup michuano inayoendelea Mombasa na Kwale

  • | Citizen TV
    144 views
    Duration: 2:41
    Kampuni ya Shabiki.com imefadhili makala ya sita ya mashindano ya kandanda ya Rashid Abdalla Super Cup, michuano inayoendelea katika kaunti za Mombasa na Kwale. Afisa wa oparesheni Shabiki.com, Abdi Waqo, amesema lengo kuu la shabiki.com ni kuinua na kukuza vipaji mashinani.