- 220 viewsDuration: 3:24Kundi la akina mama wazee katika kaunti ya Nandi limeanzisha timu ya soka inayojulikana kama Tegat Grannies Football Club . Timu hiyo inatumia mchezo wa mpira wa miguu kama njia ya kuimarisha afya ya mwili na kukabiliana na maradhi yanayoambatana na uzee.