Skip to main content
Skip to main content

Wanasayansi wazindua aina mpya za mtama zinazokwepa ndege kuokoa wakulima wadogo

  • | Citizen TV
    274 views
    Duration: 3:14
    Wanasayansi humu nchini wamepiga hatua kubwa katika vita dhidi ya uharibifu unaosababishwa na ndege kwenye mashamba ya mtama. Shirika la Utafiti wa Kilimo na Mifugo (KALRO) limezindua aina tano mpya za mtama ambazo aidha hukwepa au hufukuza ndege, katika hatua inayotarajiwa kuwaokoa wakulima wadogo waliokuwa wakipoteza mavuno makubwa kutokana na ndege hawa