- 782 viewsDuration: 2:57Kesi ya mauaji ya mfanyakazi wa shirika la BBC Action Katherine Rowena Mitchelle minne iliyopita imesikizwa leo huku mashahidi wawili wakifika kizimbani. Mahakama ya Kibra ikifahamishwa yaliyojiri kabla ya mauaji yake katika hoteli moja mtaa wa Westlands hapa Nairobi. Familia yake ikidai haki kwa Katherine ambaye ni raia wa Uingereza, ikidai hakukuwa na ushirikiano na polisi kuhusu kesi hii