Skip to main content
Skip to main content

Gachagua adai njama ya kuingilia matokeo ya uchaguzi mdogo wa Mbeere Kaskazini

  • | Citizen TV
    1,914 views
    Duration: 1:49
    Kinara wa DCP Rigathi Gachagua sasa anadai kwamba kuna njama ya kuingilia matokeo ya uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Mbeere Kaskazini utakaofanyika tarehe 27 Novemba. Madai ya Gachagua yakijiri wakati ambapo kampeini za chaguzi ndogo mbalimbali zikiendelea kuchacha katika eneo bunge la Malava huku mgombea wa chama cha UDA David Ndakwa akiendeleza kampeini katika eneo la Manda