13 Nov 2025 10:37 am | Citizen TV 17,401 views Duration: 11:51 Sherehe Maalum ya kuadhimisha miaka 20 tangu kuanzishwa kwa chama cha ODM imeanza rasmi huku wanachama wakiabiri treni ya ya SGR kuelekea Mombasa kwa tamasha mbalimbali zilizoandaliwa kusherehekea ufanisi wa chama hicho.