13 Nov 2025 11:16 am | Citizen TV 4,735 views Duration: 16:14 Kampuni ya Uingereza yapata dhahabu Ikolomani. Shanta Gold Kenya limited imewekeza Ksh. 26.87b .Wakazi wa Ikolomani wana matumaini ya kufaidi.