13 Nov 2025 11:36 am | Citizen TV 922 views Duration: 10:28 Kampuni ya Uingereza yapata dhahabu Ikolomani. Shanta Gold Kenya limited imewekeza Ksh. 26.87b .Wakazi wa Ikolomani wana matumaini ya kufaidi.