Skip to main content
Skip to main content

MASKANI | Mahangaiko ya Wakenya Ng'ambo [Part 1]

  • | Citizen TV
    240 views
    Duration: 14:49
    Ukandamizaji wa haki za wakenya ng'ambo wazua hofu. Baadhi wamedai kutelekezwa na serikali wakiwa nje. Dhulma na utekaji nyara vimetokea uganda na Tanzania. Jumuiya ya Afrika Mashariki imelaumiwa kwa kukiuka haki. Wakenya watatu bado wanazuiliwa jela za Tanzania. Wakenya wawili walitekwa nyara na kuzuiliwa Uganda.