- 279 viewsDuration: 3:14Siku chache baada ya ziara ya Rais William Ruto, katika kaunti ya Samburu,wakazi wa kaunti hiyo wamemtaka kuhakikisha miradi aliyozindua hasa mradi wa usambazaji maji unakamilika Kwa Wakati. Wakazi hao wanamtaka rais ruto kuhakikisha mradi huo umekamilika ili kuwaondolea dhiki ya kusaka maji Kila siku.