13 Nov 2025 2:00 pm | Citizen TV 321 views Duration: 1:55 Kaunti ya Kwale itakuwa mwenyeji wa mashindano ya uendeshaji baisikeli ya afrika ya "Cac Road Cycling African Championship" yatakayofanyika kwa siku tatu kuanzia tarehe 19 hadi 23 katika miji ya Diani na Kwale.